Radio Taifa
Radio Taifa: Jinsi bodaboda zinavyoepusha vijana na uhalifu na utovu wa nidhamu
Biashara ya Boda boda imenawiri sana nchini huku Vijana wengi wakipata ajira na kujieupusha na uhalifu na utovu wa nidhamu. Dkt. Kalua Green, mwenyekiti wa waundaji wa pikipiki Nchini au […]
Yaliyotukia: Usalama wa uendeshaji wa Pikipiki
Katika Kipindi cha Pili, Dkt. Kalua Green, Mwenyekiti wa Waundaji Pikipiki nchini (MAAK) azungumza kuhusu Usalama wa uendeshaji wa Pikipiki.
Yaliyotukia: Je, Sektaya Bodada imesaidia vipi uhifadhi wa mazingira?
Yaliyotukia: Katika makala haya maalum, Dkt. Kalua Green, Mwenyekiti wa Waundaji Pikipiki Nchini ( MAAK) azungumzia kwa undani sekta ya Bodaboda, Katika Kipindi cha Kwanza, Dkt. Kalua aeleza kuwa biashara […]
Radio Taifa: Maandalizi ya kilimo cha pamba Kenya
Pamba linakuzwa katika sehemu mbalimbali nchini. Zao hili linaangaziwa na serikali kama kichocheo cha sekta ya utengenezaji nguo. Je mazingira yapi yanafaa ukuzaji wa pamba. Kwa mengi Ungana na Bernard Maranga […]
Radio Taifa: Makala ya matukio muhimu mwaka huu wa 2020
Miongoni mwa habari zilizogonga vichwa ni pamoja na kuenea kwa virusi vya korona nchini, Kuaga dunia kwa Rais mstaafu Daniel Moi, kuzinduliwa kwa BBI na pia Kustaafu kwa Jaji mkuu […]
Radio Taifa: Daluga ya spoti – Kothbiro yaingia awamu ya 16
Makala ya 47 ya mashindano ya kila mwaka ya KothBiro kwa timu za kutoka mitaa ya Nairobi yataingia hatua ya awamu ya 16 bora Disemba 27. Aliyekuwa mchezaji wa Timu […]
Radio Taifa: #Covid19 yatatiza juhudi za kupambana na Ukimwi
Dunia inaadhimisha tarehe mosi mwezi Disemba kila mwaka kuwa siku ya Ukimwi Duniani. Mwaka huu maudhui ni kukabiliana na Ukimwi na Covid 19. Kuna hofu kuwa hatua zilizokua zimepigwa kuangamiza […]
Radio Taifa: Watu zaidi ya 1,000 wameaga kutokana na Covid-19. Kenya ifanye nini?
Tangu kuzuka kwa Maradhi ya Covid 19 hapa nchini mnamo mwezi Machi mwaka huu, watu zaidi ya 1000 wameaga dunia na wengine kuambukizwa ugonjwa huo. Pia kinachotia wasiwasi zaidi ni […]
Radio Taifa: Athari zinazokumba vijana kufuatia kusambaa kwa #Covid19
Inasemekana ubunifu wa vijana umeonekana wakati huu, lakini watetezi wa haki za watoto wana wasiwasi kutokana na athari zinazokumba vijana kufuatia kusambaa kwa #Covid19.
Radio Taifa: Ukosefu wa ajira wakati wa Covid-19
Mbona janga la ukosefu wa ajira linazidi kukithiri kila uchao hata kabla ya Covid-19 kuchipuka? Kampuni ya GNORTH iliyowasimamisha wafanyikazi 15 ni miongoni mwa wahusika kwenye makala maalum ya MASHUJAA […]