Pwani FM
Katana: Msituangalie tu na mtarajie Chama cha Pwani
Mbunge wa Kaloleni Paul Katana amewapa changamoto wakaazi wa Pwani kutoa maoni na mapendekezo ili kufanikisha kuunda chama cha Pwani. Akizungumza na mwanahabari Fundi Bengo, Katana asema wakaazi hao hawastahili […]
Mgao wangu wote mwaka ujao nawapa kinamama
Mwakilishi wa kinamama kaunti ya kwale Zuleikha Hassan ameapa kutumia mgaoa wake wote wa mwaka ujao kuwakomboa wakinamama na vijana ambao wengi wao wamepoteza nyenzo za ajira kutokana na jinamizi […]
Pwani FM: #KenyaNiMimi itainua maisha ya vijana – Asema Nadia Abdalla
Katibu Mwandamizi katika Wizara ya Mawasiliano, Teknoljia, Uvumbuzi na Maswala ya Vijana Nadia Ahmed Abdalla amehimiza kuwa vuguvugu la #KenyaNiMimi itainua maisha ya vijana. Aliongeza kuwa vijana wajitokeze, wafahamishwe zaidi […]
Profesa Boga asema Familia Yake ilikuwa na Taharuki
Prof. Hamadi Boga asema familia yake ilikuwa na taharuki mno alipopimwa na kubainika kwamba alikuwa anagua homa ya COVID 19.Akisumulia jinsi alivyopambana na homa hiyo kwenye Jukwaa la Swala Nye’ […]