INGO FM :IBAJETI YA KORONA,KOMENYI MCHO,MKIVARA.IVIHIGA VANDU VATULIZI ZINGANAGANI ZYAVO.

SWALA LA MADENI NA ONGEZEKO LA USHURU KWA BAADHI YA BIDHAA MUHIMU NI MOJAWAPO YA MASWALA YANAYOTARAJIA KUMILIKI BAJETI YA MWAKA WA 2021/22,WITO UKITOLEWA KWA RAIS KENYATTA  KUMPUNGUZIA MKENYA MZIGO KUTOKANA NA HALI NGUMU YA MAISHA.

NI BAJETI YA KIMA CHA SHILINGI TRILIONI 3.6, MKENYA WA KAWAIDA AKITARAJIWA KUGHARAMIKA ZAIDI HALI YA MAISHA IKIONEKANA KUWA NGUMU HATA ZAIDI KUTOKANA NA KUWEPO JANGA LA CORONA.

ELLAM MALENGE,MWENYEKITI WA AMANI KAUNTI YA VIHIGA ANASEMA NI WAJIBU WA SERIKALI NA RAIS UHURU KENYATTA KUWEKA MIKAKATI MWAFAKA  KUMPUNGUZIA MKENYA MAJUKUMU YA KUFADHILI MAPATO YA SERIKALI KATIKA BAJETI HIYO KUTOKANA NA HALI NGUMU YA KIUCHUMI INAYOSHUHUDIWA NCHINI KWA SASA.

Luhya's leading broadcaster,with presence in Vihiga,Kakamega,Busia,Bungoma and Trans Nzoia.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *