Radio Taifa: Siku ya Nyuki na Uzalishaji Chakula Kenya

Dunia inaadhimisha Tarehe 20 Mwezi Mei kama siku ya Nyuki duniani. Hii ni kutokana na manufaa ya Nyuki.

Wakulima wengi nchini Kenya tayari wameanza kutekeleza kilimo hiki cha nyuki huku serikali ikiweka kipaumbele uzalishaji wa chakula nchini.Ungana na Bernard Maranga kwenye makala haya ufahamu mengi kuhusu Nyuki


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *