Radio Taifa: Wanawake katika uongozi

Ingawa wanawake wameweka wazi kuwa wanauwezo sawa za kufanikiwa katika maeneo yote yanayoshughulikiwa na wanaume, suala la ubaguzi wakisiasa bado linawarudisha NYUMA wanawake wengi kutoka Kaunti ya Marsabit.


Ungana nami Nagayo Nura katika kipindi hiki maalum SAUTI ILIYOPAA, ninapozungumza na viongozi wanawake ambao wameweza kuleta mabadiliko mema licha ya vizuizi wanazo kumbana nazo kila siku.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *