Radio Taifa: Wakulima wanavyonufaika na ufugaji nyuki

Ufugaji wa nyuki unaendelea kuwa sekta muhimu hapa Kenya huku wakulima wakinufaika kutokana na uuzaji wa asali. Aidha uzalishaji wa chakula cha kutosha unatokana na ufugaji wa nyuki ili kuafikia ajenda kuu ya maendeleo ya serikali ya uzalishaji chakula chakula cha kutosha.Ungana na Bernard Maranga akiangazia manufaa ya ufugaji nyuki hapa nchini.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *