Radio Taifa: Sauti dhidi ya ukeketaji wa wasichana

Kwa muda mrefu, mila na desturi potovu imekuwa kizuizi kuu kwa wanamwake wanaotoka kwa jamii ya waborana. wanawake hawa wamekuwa na nafasi ndogo sana ya kushiriki katika mambo ya umma na hivyo kuachwa nyuma na haki zao kukiukwa.

Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kunaibuka viongozi wanawake na mashirika yanayo ongozwa na wanawake ambayo yametoa mabadiliko makubwa. Ujambo na Karibu kwenye Makala YETU SAUTI ILIYO PAA, kwenye Makala tunaangazia sauti za viongozi wanawake kutoka kaunti ya marsabit wakitueleza jinsi sauti zao za kupinga ukeketaji zinasikika katika kaunti hiyo. Naitwa Nagayo Nura, asanti kwa kuungana nasi.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *