KBC Radio Taifa: Wanawake na Uongozi katika Kaunti ya Kisii

Flat illustration with business ladies climbing together on mountain peak top on blue clouded sky background. Team work, achievement, reaching aim, partnership, motivation, support, – metaphor.

Idadi ya wanawake walio katika uongozi hapa nchini ingali katika kiwango cha chini licha ya kuwania nyadhifa mbalimbali za uongozi.

Wanawake katika kaunti ya Kisii wanakumbwa na changamoto kuwania nyadhifa hizo za uongozi.

Bernard Maranga amezuru kaunti hiyo Kisii.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *