Radio Taifa: Jinsi bodaboda zinavyoepusha vijana na uhalifu na utovu wa nidhamu

Biashara ya Boda boda imenawiri sana nchini huku Vijana wengi wakipata ajira na kujieupusha na uhalifu na utovu wa nidhamu.

Dkt. Kalua Green, mwenyekiti wa waundaji wa pikipiki Nchini au Motorcyle Assembers Association of Kenya (MAAK) azungumza kuhusu ushiriakiano uliopo kati ya Maafisa wa usalama na wanabodaboda hasa katika kuangamiza uhalifu.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *