Yaliyotukia: Je, Sektaya Bodada imesaidia vipi uhifadhi wa mazingira?

Yaliyotukia: Katika makala haya maalum, Dkt. Kalua Green, Mwenyekiti wa Waundaji Pikipiki Nchini ( MAAK) azungumzia kwa undani sekta ya Bodaboda, Katika Kipindi cha Kwanza, Dkt. Kalua aeleza kuwa biashara ya Bodaboda imesaidia katika uhifadhi wa mazingira.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *