Radio Taifa: Maandalizi ya kilimo cha pamba Kenya

Pamba linakuzwa   katika sehemu mbalimbali nchini. Zao hili linaangaziwa na serikali kama kichocheo cha sekta ya utengenezaji nguo. Je mazingira yapi yanafaa ukuzaji wa pamba. Kwa mengi Ungana na Bernard Maranga  hapa Radio Taifa.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *