Mwanasaikolojia Collins Bollo asema ni jukumu la mwanafunzi kujilinda.

Collins Bollo Mwanasaikolajia na mchungaji  wa kanisa asema wazazi wanapaswa kuwaelezea watoto wao kuwa ni jikumu lao kujilinda kuambukizwa na homa ya Covid 19 na wala si jukumu la shule wala serikali.
Kwenye mahojiano na Pwani FM kwenye jukwa la swala la jamiii Bollo asema  kuwa ni muhimu wazazi kuelemisha hata watoto wao wa umri mdogo masharti ya msingi ya kukabiliana na homa hiyo na kuwasisitizia kutekeleza wanapokuwa shuleni.
Pia ametilia mkazo  kwamba wazazi pia wanafaa kuelewa njia bora ya kuelezea watoto wao kuhusiana na maradhi hayo ili isionekane kana kwamba homa ya COVID 19 ni tishio kwao lakini kwa maisha ya binadamu yeyote

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *