Radio Taifa: #Covid19 yatatiza juhudi za kupambana na Ukimwi

Dunia inaadhimisha tarehe mosi mwezi Disemba kila mwaka kuwa siku ya Ukimwi Duniani. Mwaka huu maudhui ni kukabiliana na Ukimwi na Covid 19. Kuna hofu kuwa hatua zilizokua zimepigwa kuangamiza Virusi vya HIV na maradhi ya Ukimwi zinakwamishwa na janga la Covid 19 ambalo limekumba dunia.Wataamu wanasema mambukizi ya virusi vya HIV yamekithiri miongoni mwa vijana walio chini ya umri wa miaka 24 hasa wakati huu kwani wengi hawana shughuli za kufanya.Kwa mengi ungana na Bernard Maranga.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *