Radio Taifa: Watu zaidi ya 1,000 wameaga kutokana na Covid-19. Kenya ifanye nini?

Tangu kuzuka kwa Maradhi ya Covid 19 hapa nchini mnamo mwezi Machi mwaka huu, watu zaidi ya 1000 wameaga dunia na wengine kuambukizwa ugonjwa huo. Pia kinachotia wasiwasi zaidi ni kuaga dunia kwa madaktari na wahudumu wa matibabu hapa nchini. Tunapojipata katikahali hii kama Taifa tunafaa kufanya nini? Ungana na Bernard Maranga kwenye makala haya tunapoangazia athari za Covid 19 katika sekta ya afya nchini na suluhisho lake.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *