Radio Taifa: Ukosefu wa ajira wakati wa Covid-19

Mbona janga la ukosefu wa ajira linazidi kukithiri kila uchao hata kabla ya Covid-19 kuchipuka? Kampuni ya GNORTH iliyowasimamisha wafanyikazi 15 ni miongoni mwa wahusika kwenye makala maalum ya MASHUJAA DAY 6 – kwenye radio taifa huku ikifafanua mikakati yake ya kujikimu na hatma ya waliopoteza kazi kwa muda. Kampuni hiyo ni picha halisi ya mambo yalivyo nchini kwa sasa.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *