RADIO TAIFA:Wengi wana matatizo ya kiakili lakini hawafahamu-wataalamu.

Afya ya akili inawezesha mtu kutekeleza kazi yake na kuishi na wengine vyema katika jamii.Hata hivyo utafiti umebaini kuwa karibu watu bilioni 1 wana matatizo ya afya ya akili duniani.
Chanzo cha matatizo ya akili ni nini na ?na je nini athari zake ?
Ungana nami kwenye Makala tunapoadhimisha siku ya afya akili duniani , Mimi ni Bernard Maranga.