Radio Taifa: Madereva wa Malori na waendesha bodaboda walaumiwa kwa kuenea kwa HIV kwa vijana

Kufungwa kwa shule kutokana na maradhi ya Covid 19 kulileta athari kubwa kijamii na kiuchumi kwenye jamii nyingi nchini.Mbali na Wanafunzi kukosa fursa ya kukua kielima,ndoa za mapema, ,mimba za mapema na hata ajira ya watoto ni baadhi ya athari zinazoshuhudiwa.

Katika kaunti ya Busia athari hizi hasa kwa vijana wanaobaleghe zimebainika.Baadhi ya wakazi wa Wanalaumu waendesha Malori na bodaboda kwa kuchangia kuenea kwa Homa ya Covid 19 na kusambaa kwa virusi vya HIV na ugonjwa wa Ukimwi Ungana na Bernard Maranga kwa mengi zaidi.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *