Radio Taifa: Kilimo hai yaani organic farming, ni suluhisho kwa afya – Wataalamu

Wakulima wengi wameanza kutekeleza Kilimo Hai yaani organic farming kwani wanaamini ni salama kwa chakula. Je hiki ni kilimo aina gani na manufaa yake ni yapi.Ungana na Bernard Maranga anapozuru Mahi Mahiu, Naivasha.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *