Radio Taifa: Maambukizi ya HIV kwa Vijana wakati wa Covid-19

Wakati huu ambapo shule zimefugwa baada ya homa ya Covid-19, vijana wengi wanaobaleghe hawana kazi ya kufanya.

Sasa wanajihusisha na mienendo isiyofaa ikiwemo ngono za mapema. Hii inawaweka katika hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV na mimba za mapema.

Ungana na Bernard Maranga akiangazia kitisho kinachowakumba vijana hao magharibi mwa Kenya.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *