Radio Taifa: Vijana wanavyoathirika kimawazo wakati wa Covid-19

Tangu kuzuka kwa Homa ya Covid-19, vijana wanaobaleghe wameathirika kimawazo kutokana shule kufungwa. Wengine wanajihusisha na mienendo isiyofaa. Bernard Maranga amezuru Kaunti ya Busia kuangazia hali ya vijana wanaobaleghe (Teenagers) kufuatia kuzuka kwa Covid 19. Nini maoni yako?


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *