Pwana Mchana: Serikali imetoa ajira kwa zaidi ya vijana elfu 283

Serikali imetoa ajira kwa zaidi ya vijana elfu 283 katika awamu ya pili ya mradi wa kazi mtaani, kama sehemu ya jitihada za kukimu familia zisizojimudu zinazoathirika na janga la Covid-19.

Mwenyekiti wa baraza la ushauri kwa waislamu nchini KEMNAC Sheikh Juma Ngao amewashauri wasimamizi wa misikiti kufungua nyumba hizo za ibada ili waumini waendelee kuabudu kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na wizara ya afya.
Maelezo ya bima ya gari sasa yatasajiliwa kwa Mamlaka ya Kitaifa ya Usafiri na Usalama (NTSA) katika juhudi mpya za kuzuia wizi wa gari kupitia matumizi mengi ya vibandiko vya nambari za usajili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *