Pwani Mchana : Mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona nchini unaendelea kusajili kiwango kikubwa


Mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona nchini ambao unaendelea kusajili kiwango kikubwa cha maambukizi umepunguza shughuli katika ofisi mbali mbali za serikali.
Kampuni za uchapishaji zinatazamia kushuka kwa mauzo kwa kiwango cha shilingi bilioni 30 mwaka huu kutokana na kufungwa kwa shule kwa mda mrefu na wanafunzi kurudia madarasa mwakani.
Wakaazi wa kaunti ya Kwale wametakiwa kuchukua tahadhari kwa upepo mkali ambao unarajiwa kuanza Leo hadi siku ya Jumapili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *