Pwani mchana: Rais Uhuru Kenyatta amerejesha katika bunge la taifa miswada miwili

Rais Uhuru Kenyatta amerejesha katika bunge la taifa miswada miwili iliyowasilishwa kwake ili kuidhinishwa kuwa sheria, baada ya kukosoa baadhi ya vipengee vya miswada hiyo.

Baadhi ya wafanyabiashara wanaotekeleza biashara zao katika ufuo wa Pirates hapa Mombasa wanaitaka serikali ya kaunti na ile ya kitaifa kuingilia kati na kusikiza kilio chao baada ya vibanda vyao kuvunjwa eneo hilo takriban miezi mitatu iliyopita.

Serikali ya kaunti ya Kwale ni kati ya kaunti ambazo zimefikisha idadi ya vitanda 300 vinavyohitajika licha ya kuwa na idadi ya zaidi ya vitanda 100 vya kuwalaza wagonjwa wa corona

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *