Hivi nasubiria Rais atasema nini..

Kupitia mtandao wa Facebook Nyota ndogo amefunguka na kuelezea kiundani Kama unatarajia kufungua biashara yako ya Hotel msimu huu wa Janga la korona basi jitayarishe kwa haya ,

“”Leo siku yangu haijakua poa ndio maana sijapost kitu.ok ni hivi. Nilikua nimetarajia kufungua hotel yangu ya chakula Leo.jana nilifatilia kila kitu ikabakia tu kujakuangaliwa sehemu.nitawapa fununu na zaukweli..tulienda kupima korona yes after one week tukapata majibu tupo fine so tulipeleka makaratasi yetu kwa watu wa health kitu sikujua ni nafaa kulipia watu wangu 1k each kupata muhuri wa health inamaana nafaa kulipa 5k kwa wote.so nikashtuka sana. FUNUNU sasa.fununu zinasema kwamba watu watakua wanapimwa tena after every 14days na kila ukienda ni 1k each.jamani hii ni fununu tu yani endapo itatokea mtanikumbuka niliwagusia JAMANI HIZI NIFUNUNU TU.tuendelee na ya kweli.kumbe ukiwa unafungua lazima ufundishwe for like 2hours jinsi ya kukaa watu na utafanya vipi kazi wakati huuu wa korona na kupitia mafunzo hayo lazima utalipa 1k kila mtu inamaana nalipa tena 5k kwa watu watano. Nafikiria wakati huu wa korona watu hawana kazi serekali mbona inafanya hivi? Kama mambo ya health najua yes nilazima mbali na korona uwa tunalipa kidogo mbona ya korona nyingi? NDIO MAANA WATU WANAONA SHIDA MPAKA WANAUA WATOTO KWAAJILI YA SHIDA YANI HAKUNA KAZI LAKINI MUNALIPISHWA PESA NYINGI HIVI.ok maybe mwengine anaweza kuziona kidogo but ni nyingi jamani kwa wakati huu.nilifikiria vitu vya serekali uwa ni pesa kidogo kama 300 ………….HIVI NASUBIRIA RAIS UHURU ATASEMA NINI.pia nimesahau lile bastola la teperecha ni 10k bila hio hufungui.watu walikua pale wameskitika sana.WAFANYIKAZI SIWALAUMU NI SHERIA ZA SEREKALI TU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *