Pwani Mchana: Wizara ya elimu huenda isifungue shule mwezi Septemba

Wizara ya elimu huenda isifungue shule mwezi Septemba jinsi ilivyodokeza awali kutokana na makisio ya maambukizi ya virusi vya Korona kufikia kilele chake, mwezi huo

Jaji mkuu David Maraga leo asubuhi amezindua mfumo wa kidijitali katika idara ya mahakama wa kuwasilisha kesi katika mahakama za jiji la Nairobi

Wakazi wa kijiji cha Kaza Moyo eneo bunge la Kinango kaunti ya Kwale wanaishi kwa hofu baada ya bwenyenye mmoja kuvamia ardhi yao na kuwataka wanaoishi kwenye ardhi hiyo kuondoka mara moja

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *