Pwani Mchana: Mbunge wa Matuga Kassim Tandaza asema wabunge wapwani wameshindwa kukubaliana

Baraza la kitaifa la ushauri kwa waislamu nchini KEMNAC limetaka utumizi wa mitandao ya ngono kupigwa marufuku na serikali kama njia mojawapo ya kuzuia ongezeko la visa vya mimba za mapema.
Mbunge wa Matuga Kassim Tandaza asema wabunge wapwani wameshindwa kukubaliana kufanya mkutano ili kumchagua Mwenyekiti wa wabunge wa wapwani baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wao Suleiman Dori kufariki.