Pwani Mchana : Bunge la kaunti ya Kitui limesitisha mjadala kuhusu kubanduliwa kwa gavana wa kaunti hiyo Charity Ngilu.


Juhudi za kujaza nafasi ya msajili wa vyama vya kisiasa zilianza leo asubuhi huku tume ya kuajiri watumishi wa umma ikisema watu kumi waliotuma maombi yao watasailiwa.

Jamii inayoishi na ulemavu kaunti ya kwale imebuni mbinu za kuwa saidia walemavu wenzao ambao wanapitia hali ngumu za kimaisha ikiwemo kukosa chakula cha msaada kinachotolewa na serikali.

Zoezi la upimaji wa halaiki kuhusiana na ugonjwa wa covid-19 lingali linaendelea katika bandari ya Mombasa kpa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *