Real men like Pday do this always

akizungumza na meza yetu ya umbea alisema ana mpango wa kuanzisha campaign ya wasanii kujitokeza na kujua Hali zao …’si kwa sababu eti tuna Mambo mengi fiche No..Ni kwa sababu sisi Ni mfano wa kuigwa na jamii na nikifanya vile na mwingine pia afanye ivo ina mpa shabiki ama mtu yeyote motisha naye akajua Hali yake na isitoshe izi kit zinapatikana kirahisi’

Ila msingi zaidi wafatilia pia kazi zetu tunazo fanya hususan kuelemisha jamii Kama AFROGUNDA


One Reply to “Real men like Pday do this always”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *