Waziri wa michezo Amina Mohammed amezindua rasmi ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Jomo Kenyatta

Waziri wa michezo Amina Mohammed amezindua rasmi ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Jomo Kenyatta mjini Kisumu.
Waziri Amina amesema uwanja huo ambao utakubali mashabiki 20,000 utagharimu shilingi bilioni 1.4 na tayari shilingi milioni 350 zimetolewa kuanza kwa ujenzi huo ambao amesema utakamilika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *