Pwani Mchana: Mama na wanawe wawili wameteketea hadi kufa ndani ya nyumba moja ya kukodi katika mtaa wa Jitoni

Mama na wanawe wawili wameteketea hadi kufa ndani ya nyumba moja ya kukodi katika mtaa wa Jitoni  eneo bunge jomvu kaunti ya Mombasa usiku wa kuamkia leo.
Waziri wa elimu katika kaunti ya kilifi Gabriel Katana amewataka walimu  kutafuta njia mbadala ili kujikimu kimaisha .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *