Duale Apokeza wadhifa

Aliyekuwa kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa na mbunge wa Garisa mjini Adan Duale amekabidhi wadhifa alioukalia kwa muda wa miaka saba kwa kiongozi mpya wa wengi katika bunge hilo Amos Kimunya aliyepia mbunge wa kipipiri.