Pwani Mchana: Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Adan Duale abanduliwa kwenye wadhifa wake
1.Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Adan Duale abanduliwa kwenye wadhifa wake. 2. Ukosefu wa fedha umetajwa kuwa changamoto inayoathiri kampeni za viongozi wa kike katika bunge la Kwale