Pwani Mchana: Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amejitenga na siasa za kaunti ya kirinyaga

Kamati ya kushughulikia janga la covid-19 humu nchini leo itakutana na baraza la magavana jijini Nairobi. 


 Wakazi katika kaunti ya kwale wanawataka wawakilishi wadi wa bunge la kaunti hiyo kusitisha mchakato wa kumbandua mamlakani gavana Salim Mvurya na naibu wake Fatuma Achani.Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amejitenga na siasa za kaunti ya kirinyaga na kusema kuwa hajawahi kutana na gavana Anne Waiguru huku akimtaka gavana huyo kubeba msalaba wake mwenyewe

One Reply to “Pwani Mchana: Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amejitenga na siasa za kaunti ya kirinyaga”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *