Radio Taifa: Bajeti ya Mwaka wa 2020/2021

Bajeti ya mwaka huu imeleta matarajio makubwa kwa wakenya hasa wakati huu janga la korona inanendelea kuadhiri pakubwa uchumi wa dunia leo tunazungumzia matarajio ya bajeti hii ambayo itawasilishwa na Waziri wa Fedha Ukur Yatani.