Pwani Mchana: Vijana katika eneo la Changamwe hususan katika wodi ya Chaani walalamikia kutengwa.

Viongozi wakisiasa kutoka kaunti ya Mombasa wanatarajiwa kutoa msimamo wao kuhusu agizo la kutoa mizigo katika bandari ya Mombasa hadi  Naivasha.  

Mchakato wa kumbandua gavana wa kaunti ya Kirinyaga Ann Mumbi  Waiguru umeng’oa  nje ya majengo ya bunge la kaunti hiyo,huku jumla ya wawakilishi wadi 25 kati ya 33 wakiwa wamehudhuria kikao cha leo. 


 Vijana katika eneo la Changamwe hususan katika wodi ya Chaani walalamikia kutengwa na serikali katika nafasi za ajira kwa vijana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *