Harmonize Ni Coward!!!

Msaani wa Gospel nchini Kenya Bahati amwita Harmonize Mwoga baada ya Harmonize kumu unfollow msaani Bahati kwenye mtandao wa instagram.
Tukio Hilo limejiri baada ya Bahati kumtaka Harmonize kuheshimu diamond na kumaliza tofauti baina yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *