Pwani Mchana : Wenye akili punguani wathibitishwa kupatikana na virusi vya korona

Maraga amemlaumu rais Kenyatta kwa kudinda kufanya mazungumzo naye,kujadili mstakabali wa idara ya mahakama katika kipindi hiki cha covid -19. 


  Watu wawili wenye akili punguani wathibitishwa kupatikana na virusi vya korona mjini mombasa.


Katibu katika wizara ya Utalii na wanyamapori nchini Safina kwekwe asema Serikali  imetenga fedha za kuwaajiri walinzi katika mbuga za wanyama porivya korona mjini mombasa.Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *