Mtu anapokuletea Barakoa kataa

Mtu anapokuletea Barakoa kataa. Muambie avae yeye na mkewe na watoto wake. Asema rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Rais huyo amekuwa Kwenye rekodi ya kuwaambia raia wake kuendelea na maisha yao swala ambalo limewatamausha watalaamu wa Afya. Amebakia na miezi kadhaa kukamilisha mhula wake wa Kwanza tangu kuingia madarakani mwaka wa 2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *