@kahush_ The Health CS Mutahi Kagwe is my dad Rapa Kahush alianza kutambuliwa  baada ya picha ya waziri wa afya Mutahi Kagwe kuonekana katika video yake ya  “Mi Siwezi” .

Mwanamziki huyo aliwapa kazi rahisi wadaku mitandaoni baada ya kuthibitisha katika moja wapo ya mahojiano na radio moja nchini kuwa waziri Kagwe ni babake.

Kabla ya hapo waziri Kagwe hajakua mtu wakuweka wazi maisha yake ya familia  lakini sasa amekua habari ya mjini tangu kugunduliwa kwa kisa cha kwanza cha kororna nchini.
Kwenye mahojiano ya hapo awali, Kagwe alifichua kuwa ana kijana anayefanya IGAD Ethiopa, mwingine anafanya kazi kwenye benki na kisha  akasema pia ana kijana ni rapper na anampa support.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *