Susumila alisusia videoshoot ya Bandika

Wimbo mpya wa Susumila Bandika ulibuma hata kabla ya wimbo wenyewe kuachiliwa.

“Idea initially ilikuwa ni kureach audience ya gengetone lakini things started going south baada ya susu kukosa kuja location siku ya shoot” Alisema mdukuzi wetu

Aidha amesema kuwa susumila anafaa kublame management yake kwa kuwachia wimbo ambao yeye mwenyewe hakutaka kuhusika kufanya video.

“ management ya susu should know kuwa ngoma ya Warembo na Sonona zili raise bar Kwake so any project ambayo itakuwa chini ya hizo haitachukuliwa kwa uzito na Mashabiki ”

Aidha SUSUMILA hajaelezea sababu iliofanya yeye kususia kufanya shoot ya video hio.

Kwa sasa Wimbo wa Bandika unaviews elfu 2.2 kwenye mtandao wa youtube


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *