Pwani Mchana: Mbunge wa kaloleni Paul Katana ashtumu hatua ya chama cha ODM


Mbunge wa kaloleni Paul Katana ashtumu hatua ya chama cha ODM kumbandua kama mwanakamati kwenye kamati ya biashara katika bunge la kitaifa.

Mchanganuzi wa masuala ya kisiasa professa Hassan Mwakimako ametaja mageuzi yanayoendelea katika vyama vya kisiasa kwenye uongozi wa kamati mbali mbali za bunge zitachangia siasa za mapema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *